Malipo ya Chuo Kikuu

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Many students need assistance when paying for college

Many students need assistance when paying for college

Malipo ya chuo kikuu: nitaweza vipi malipo?

Paying for college: how can I afford it?

Wanafunzi wanafikiri namna ya kulipia chuo kikuu kabla ya kuanza kusoma. Hapa kuna njia za kulipia elimu yako:

Students think about paying for college before they start classes. Here are some ways you can pay for your education:

Mikopo ya wanafunzi

Student loans

Wanafunzi wenginie wanalipia chuo kikuu kwa mikopo kutoka serekali ama mikopo ya privat. Kuomba mkopo wa serekali lazima ujaze FAFSA, ambayo ni Free Application for Federal Student Aid. Ukiomba mikopo ya serekali lazima urudishe pamoja na riba yake. Maana pesa unazokopa lazima urudishe zote kwa serekali pamoja na pesa zaidi zinaitwa riba. Mikopo ya privat saa nyingine huwa na riba ya juu sana. Kabla ya kuamua kuchukua mikopo ya mwanafunzi, zungumza na mfanya kazi wa schule ama mtu mwingine anayaoweza kukusaidia na kuhakikisha unafahamu kuhusu mikopo.

Some students pay for college with loans, either from the government or private loans. To apply for a loan from the government, you have to complete the FAFSA, which is the Free Application for Federal Student Aid. When you apply for loans from the government, you have to repay them with interest. This means any money you borrow you have to pay back to the government, normally with extra money called interest. Private loans can sometimes have very high interest rates. Before you decide to take student loans, you should talk to a school counselor or someone who can help you and make sure you understand the loans.

Hii ni tovuti rasmi ya serekali ya Maombi ya Bure ya Serekali ya Msaada wa Wanafunzi.Wanafunzi wengi huangalia hapa kwanza wakitaka kulipia chuo kikuu. Wanafunzi wa familia yenye nafasi kidogo ya kifedha waweza kupata udhamini na misaada mingine kusaidia kulipia schule. Waamerica na wahamiaji pia wanatatazika kujazaa FAFSA kwa sababu ni ngumu sana.

This is the official government website for the Free Application for Federal Student Aid. For many students, this is the first place they look when paying for college. Students from low-income families can receive grants or scholarships to help them pay for school. Completing the FAFSA is very complicated and confusing for American families as well as refugee families.

Kazi ya masaa

Part-time work

Wanafaunzi wengine walipia chuo kikuu kwa njia ya kusoma masaa fulani na kufanya kazi kwa masaa menginie. Saa nyingine schule zitawapa wanafunzi msaada kwa njia ya kazi katika sehemu ya schule yenyewe na malipo hutoka katika fedha za programu ya serekali. Pia waweza kutafuta kazi ambayo itakupa nafasi kuenda darasani. Lakini yaweza kuwa vigumu sana kusoma chuo kikuu wakati wa kufanya kazi, haswa kama una familia. Ukifikiria namna za kulipa chuo kikuu, jaribu kwanza kuomba udhamini kwa FAFSA kabla ya kuamua kufanya kazi.

Some students pay for college by going to school part-time and working part-time. Sometimes, schools will give students grants that allow them to work on campus and get paid from Federal Work Study funds. You can also find a part-time job that has flexible hours so that you can attend college. However, it can be very hard to go to college while you are working, especially if you have a family. When thinking about paying for college, think about this option after applying for scholarships and through FAFSA.

Udhamini

Scholarships

Refugee Center Online ina mshumbi wa Udhamini wa wahamiaji na wakimbizi. Lakini waweza kuomba udhamini ye yote kutoka chuo kikuu chako, kutoka vikundi vya mjini na mtaani na kutoka jimbo.

The Refugee Center Online has a list of Scholarships for refugees and immigrants. However, you can apply for any scholarships from your college, from local organizations, and from the state.

Finish school and earn your GED®

Free online GED® preparation course

Kumaliza elimu yako

Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!