Kujitayarisha kwa kazi au kutafuta ajira

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Are you ready to start looking for a job? There are things you can do to prepare for the process. Learn what information you need to prepare. Read about what activities can make it easier to find a job.

Beginning your career search

man filling out an application for his job search

Kwanza, jiandaae kwa kutafuta kazi!

Where to start

Je! Uko tayari kujifunza jinsi ya kupata kazi? Jambo la kwanza unapaswa kufanya ni kuanza kufikiri juu ya ujuzi wa kazi unao. Ni aina gani ya kazi na shughuli ulizofanya zamani ambazo zinaweza kukusaidia katika kutafuta kazi? Je, vyeti vyako vinaweza kubalika nchini Marekani? Hii itasaidia kujua ni aina gani ya kazi ambazo unaweza kufanikiwa zaidi kupata wakati huu.

The first thing you should do is start thinking about the job skills you have. What kind of work and activities have you done in the past that can help you in your career search? Can the certifications you have be used in the USA? This will help you know what kind of jobs you may have the most success finding now.

Kusanya aridhio yote unayohitaji kwa kutafuta kazi na uyaandike. Kisha utakuwa tayari kuanza kutafuta ajira.

Information you will need for your career search

Hii hapa ni habari utakayohitaji katika kutafuta kazi

Gather together all the information you will need for your career search and write it down. You will use this information to fill out job applications, and write cover letters, and your resume.

Historia yako ya kazi

Your work history

Umefanya kazi gani katika miakja zilizopita? Ni ujuzi gani wa kazi unao? Kujibu maswali haya itasaidia kujua ni aina gani ya kazi ambazo unaweza kuomba nchini Marekani. Kwa mfano, kama ulifanya kazi kama fundi magari katika siku za kale, unaweza kupata kazi kama mekaniki tena. Ikiwa ulifanya kazi katika sekta ya Afya, unahitaji kutafiti jinsi ya kupata cheti cha utabibu au kufikiria kurudi shuleni.

What kind of work have you done in the past? What kind of job skills do you have? Answering these questions will help you know what type of jobs you can apply for in the United States. For example, if you worked as a mechanic in the past, you may be able to find work as a mechanic again. If you worked in medicine, you may need to research how to get a certification or think about going back to school.

Andika kazi zako zote za zamani na tajriba zozote za kazi unazo. Fanya orodha ya habari juu ya kila kazi uliyofanya, ikiwa ni pamoja na:

Write down all of your past jobs and any work experience you have. Make a list of information for each job you have done, including:

 • Mji na nchi uliyofanyia kazi
 • Jina la kampuni
 • Aina ya kazi uliyofanya
 • Majukumu yako ya kazi
 • Wakati ulianza na kumaliza kazi
 • Ulilipwa kiasi gani
 • Kwa nini uliiacha kazi hio
 • The city and country where you worked
 • The company name
 • The type of work you did
 • Your responsibilities on the job
 • When you started and ended the job
 • How much you were paid
 • Why you left the job

Ujuzi wako wa kazi

Your work skills

Ujuzi wako ni chochote unachofanya vizuri. Kwa mfano, ukinena lugha zaidi ya moja, hiyo ni ujuzi muhimu katika sehemu ya kazi.

Your skills are anything you do well. For example, if you speak more than one language, that is an important skill in the workplace. If you think about your job skills as well as the types of jobs you have had, you can apply for new types of jobs because you can show you have the skills.

Ikiwa unafikiri juu ya kazi yako ujuzi kama vile aina ya kazi uliyokuwa nayo, unaweza kuomba aina za kazi katika sekta mpya kwa sababu unaweza kuonyesha kuwa unayo ujuzi.

Think about your skills in two areas, and write them down:

Fikiria ujuzi wako katika nyanja mbili, na uziandike:

1. General job skills are ones that apply to many jobs. They include things like being

1. Ujuzi za kijumlawa kazi ndio zinazotumika kwa kazi za aina nyingi. zinajumuisha mambo kama kufika kwa wakati, kuwa mteremeshi, uwezo wa kufanya kazi na watu wengine, kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa usalama na kuwa na uwezo wa kujifunza haraka. Aina hizi za ujuzi wakati mwingine huitwa “soft skills” kwa sababu hauna haja ya kwenda shule ili ujifunze.

on time, being friendly, the ability to work with other people, being able to work safely and

2. Ujuzi za kikazi hujumuisha mambo kama vile uwezo wa kufanya kazi na forklift, kupima kwa usahihi, kuendesha lori, kuandaa nyaraka za kisheria au kutumia programu za kompyuta. Aina hizi za ujuzi mara nyingine huitwa “hard skills” kwa sababu unahitaji kupitia elimu rasmi au mafunzo ili uzipate.

being able to learn quickly. These types of skills are sometimes called “soft skills” because you

Fikiria kuhusu fundi wa magari tena:Fundi wa magari ana ujuzi wa kupima kwa usahihi na kutumia zana kwa usalama. Hizi ni ujuzi wa kazi ambao unahitajika katika kazi nyingine, pia. Kwa mfano, unaweza kutumia ujuzi huu wa kazi katika ujenzi na hata katika upishi.

don’t need to go to school to learn them.

Elimu yako uliyopokea

2. Work-related skills include things such as being able to operate a forklift, measure

Utahitaji kutoa maelezo kuhusu historia yako ya elimu. Hii inajumuisha majina na maeneo ya shule ulizohudhuria,tarehe ya kuanza na kumaliza , ikiwa umehitimu, na mafunzo yoyote maalum uliyoyapokea.

accurately, drive a truck, prepare legal documents or operate software. These types of skills are

Mfumo wa elimu katika nchi yako ya asili inaweza kuwa tofauti na ya huku Marekani. Nchi tofauti zina idadi tofauti za darasa ili kukamilisha shule ya upili, kwa mfano. Mfumo wa chuo kikuu inaweza kuwa na viwango tofauti vya mafanikio kuliko ile utakayopata hapa. Wakati mwingine utahitajika “kufanikisha” habari zako kwenye nyaraka ambazo zimetengenezwa kwa wanaotafuta kazi wa asili ya Marekani.

sometimes called “hard skills” because you need to go through formal education or training to get

You may want to consider having your degree evaluated by World Education Services. This is an organization that will look at your past education and will explain what is similar to in America. This service can sometimes be expensive. Most employers will not ask for an evaluation so it is best to wait until you learn if this is common for the jobs you are looking for.

them.

Ikiwa shule au chuo kikuu uliyohudhuria ulijulikana sana katika nchi yako, hakikisha umeandika hio chini ya jina la shule katika wasifu wako. Unaweza kusema kitu kama, “Taasisi ya Teknolojia ya Filipino inachukuliwa kuwa mojawapo ya shule bora zaidi nchini.”

Think about a mechanic again: a mechanic has the skills of measuring accurately and using tools safely. These are job skills that are needed in other jobs, too. For example, you can use these job skills in construction and even cooking.

Hata kama haukumaliza shule ya sekondari au kwenda chuo kikuu, unapaswa kujumuisha mafunzo mengine ambayo umekamilisha unapoorodhesha elimu uliopokea. Kwa mfano, wakimbizi wengi wamechukua madarasa ya uongozi au mafunzo ya afya ya jamii katika kambi au baada ya kupata makaazi. Unapaswa kuandika mafunzo yoyote uliyoyapokea.

Your past education

Hakikisha pia kuandika lugha zote unazosema. Uwezo wako wa kuzungumza zaidi ya lugha moja unaweza kuwa ujuzi muhimu wakati wa kutafuta ajira.

You will need to give information about your educational background. This includes names and locations of schools you attended, start and finish dates, whether you graduated, and any special training you have done.

Maelezo yako ya mawasiliano

The educational system in your native country may be different from the one in the US. Different countries have different numbers of grades to complete high school, for example. The university system may have different levels of achievement than those you will find here. Sometimes you will have to “fit” your information into documents that are designed for native-born American job-seekers.

Utahitaji kujua maelezo yako yote ya mawasiliano, ikiwa ni pamoja na jinsi ya kuandika majina yako ya kwanza, ya kati na ya mwisho katika hati ya ombi,nambari yako ya simu, anwani na barua pepe. Katika wasifu wako, hutahitaji kuingiza maelezo ya kibinafsi kama vile tarehe yako ya kuzaliwa, umri, au hali ya ndoa, lakini huenda unahitaji kushiriki habari hiyo katika hati ya ombi .

You might have gone to a school that was famous or hard to get into. Make sure to write that under the school’s name on the resume. You can say something like, “The Technological Institute of the Philippines is considered one of the best schools in the country.”

Uthibitisho kuwa unaruhusiwa ya kufanya kazi nchini Marekani

Even if you did not finish high school or go to college, you should include any other training you have completed when you list your past education. For example, many refugees have taken leadership classes or community health training in camp or after resettlement. You should write down any training you have taken.

Utahitaji kutoa taarifa kuhusu ustahili wako wa kufanya kazi nchini Marekani. Hii ina maana una thibitisho kwamba umeruhusiwa kisheria kufanya kazi. Utahitaji kutoa nambari yako ya usalama wa kijamii kwa mwajiri wako. Unaweza pia kukamilisha hundi ya asili na kuthibitisha kwa mwajiri wako hujafanya uhalifu wowote huku Marekani.

Make sure to also write down every language you speak. Your ability to speak more than one language can be a very important skill during your career search.

Taarifa kuhusu masaa na siku gani unaweza kufanya kazi

Getting your degree evaluated

Andika siku, saa, na nyakati gani unayotaka kufanya kazi. Kwa mfano, unaweza kufanya kazi usiku? Je! Unaweza kufanya kazi wikendi ? Ikiwa unahitaji, uko tayari kusafiri kwa kazi?

You may want to consider having your degree evaluated by World Education Services. This is an organization that will look at your past education and will explain what is similar to in America. This service can sometimes be expensive. Most employers will not ask for an evaluation. It is best to wait until you learn if this is common for the jobs you are looking for.

Wadhamini wa kitaaluma

Your contact information

Wadhamini wa kitaalamu ni watu ambao watasema wewe ni mfanyakazi mzuri. Nchini Marekani, kumbukumbu zako za kazi ni kawaida watu ambao umefanya kazi nao au uliwafanyia kazi siku zilizopita. Inaweza kuwa ngumu kutoa wadhamini wakati unapofika kwanza, kwa sababu wadhamini wako za kazi za zamani wako katika nchi nyingine. Unaweza kutumia mrejeo wa ng’ambo ikiwa mrejeo yako na mwajiri wako wanaweza kuzungumza lugha moja sawa. Ikiwa mrejeo wako anasema Kiingereza na mwajiri wako anaongea Kiingereza, au ikiwa wote wanasema Kisomalia, unaweza kuwatumia kama wadhamini.

You will need to know all of your contact information, including how to format your first, middle and last names in applications, your phone number, address, and email address. In your resume, you will not need to include personal information such as your date of birth, age, or marital status. You might need to share that information in applications.

Mwajiri wako anaweza kukubali wadhamini wa kazi ambao wanaishi nje ya Marekani. Lakini itakusaidia kuwa na watu nchini Marekani ambao wanaweza kukupendekeza kwa kazi – kwa mfano, mtu unayejua kutokana na kujitolea. Ikiwa huna mtu mwingine, unaweza kuuliza meneja wa kesi au mshauri kuwa mrejeshi wako. Kawaida, huwezi kutumia marafiki au familia

Proof you are allowed to work in the USA

kama warejeshi wa kitaaluma kwa kazi.Mtu yeyote anayetumika kwa mdhamini, utahitajika kutoa jina lake kamili, cheo cha kazi, mwajiri, nambari ya simu na anwani ya barua pepe. Pia utasema uhusiano wako nao. Unaweza kupata template kwa warejeshi wako kwenye tovuti ya RCO. Kumbuka kubadilisha nafasi ya habari unazopata kwenye template na maelezo yako mwenyewe. Ikiwa unahitaji wadhamini wachache kuliko ilivyo kwenye template, unaweza kuondoa wale usiohitaji.

You will need to give information about your eligibility to work in the US. This means you have to prove you are legally allowed to work. You will need to give your social security number to your employer. You may also have to complete a background check and prove to your employer you have not committed any crimes in the US.

Mitandao za kikazi

Information about what hours and days you can work

Ni muhimu kujenga mtandao wa kitaalamu Hii inamaanisha kujiunganisha na watu ambao wanaweza kuwa wadhamini wako au kukusaidia kupata ajira. Katika kazi yako ya kwanza, kwa mfano, ujue watu wanaofanya kazi na wewe wakati ukikuruhusu. Hapa kuna njia nyingine za kufanya uhusiano na watu na kujenga mtandao wako:

Write down what days, hours, and times you are willing to work. For example, can you work at night? Can you work on the weekends? If you need to, are you willing to travel for work?

Hudhuria maonyesho ya kikazi katika jumuiya yako

Professional references

Makampuni mara nyingi huandaa matukio ambapo wanaweza kukuambia kuhusu fursa za kazi wanazo, aina ya mfanyakazi wanaotafuta, na jinsi unaweza kuziomba. Unapoenda kwenye maonyesho za kikazi, hakikisha unaenda ukibeba nakala za wasifu wako. Jitambulishe kwa wawakilishi wa makampuni unayopenda, elezea aina gani ya kazi unayotafuta, na uwape taarifa yako.

Professional references are people who will say you are a good worker. In the US, your job references are usually people you have worked with or worked for in the past. It can be hard to supply references when you first arrive. Maybe most or all of your past job references are in another country. You can use an overseas reference if your reference and your employer can speak the same language. If your reference speaks English and your employer speaks English, or if they both speak Somali, you may be able to use them as a reference.

Fungua akaunti kwenye zana za utafutaji za kazi za mtandaoni

References from overseas

Unda uwepo wa kitaaluma mtandaoni kwa kuunda wasifu wako kwenye tovuti za utafutaji kazi. Vifaa maarufu zaidi kwa utafutaji wako wa ajira ni LinkedIn, CareerBuilder, Kweli, Glassdoor, ZipRecruiter, na Tawala idealis habari.

Your employer might accept a job reference who lives outside of the US. But it will help you to have people in the US who can recommend you for a job – for example, someone you know from volunteering. If you have no one else, you can ask a case manager or mentor to be your reference. Usually, you cannot use friends or family as job references for work.

Jiunge na juhudi za kujitolea

Whoever you use for a reference, you will need to provide their full name, job title, employer, phone number and email address. You will also have to say your relationship with them. You can find a template for your references on our website. Remember to replace the information you find on the template with your own information. If you need fewer references than there is on the template, you can remove those you do not need.

Wakati una muda, jitolee katika shirika za kiambo. Utakuwa na uwezo wa kutumia ujuzi wako au kuendeleza mapya wakati unawasaidia wengine. Ujuzi unaopata utakufaidi katika kutafuta kazi, na utakuwa na nafasi ya kujifunza zaidi kuhusu tamaduni za Marekani. Pia utaunda anwani ambao wanaweza kuzungumza kwa niaba yako wakati unahitaji wadhamini wa kazi.

You can download a Word template of a reference list. When you click on the link, the document will go to your downloads folder.

Unaweza kupata matukio ya mitandao katika eneo lako kwa kutembeleaUkurasa wa matukio ya Facebook, kuangalia LinkedIn kwa fursa za mitandao ijayo, au kujiandikisha kwa ajili ya sasisho kwa Eventbritena Meetup.

Job networking

Baada ya kuweka habari hizi zote pamoja, uko tayari kuanza kutafuta kazi. Jifunze wapi kupata fursa za kazi na jinsi ya kujaza hati ya ombi la kazi.

It is important that you build a professional network This means connecting with people who may give your references or help you find jobs. In your first job, for example, get to know the people who work with you when you can.

You can attend job fairs in your community. Companies often hold events where they can tell you about the job openings they have, the kind of employee they are looking for, and how you can apply. When going to a job fair, make sure you bring copies of your resume with you. Introduce yourself to the representatives of the companies you like, explain what type of job you are looking for, and give them your information.

Sign up for online job search tools

Create a professional presence online by creating a profile on job search websites. The most popular tools for your career search include LinkedIn, CareerBuilder, Indeed, Glassdoor, ZipRecruiter, and Idealist.

Join volunteer efforts

When you have time, volunteer at a local organization. You will be able to use your skills or develop new ones while you help others. The skills you gain will benefit you in your career search, and you will have the chance to learn more about US culture. You will also create contacts who might be able to speak on your behalf when you need a job reference.

You can find networking events in your area by visiting the Facebook events page, checking LinkedIn for upcoming networking opportunities, or signing up for updates on Eventbrite and Meetup.

Learn more

Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!